Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amefunga Mafunzo ya Viongozi na Watendaji wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mikoa na Wilaya zote nchi nzima tarehe 17 Julai, 2024 Ihemi Mkoani Iringa.

Mafunzo hayo yalifunguliwa  na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi tarehe 11 Julai, 2024








Share To:

Post A Comment: