Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akiwasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam katika shughuli iliyoandaliwa kitaifa ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya pili Hayati Alhaj Ali Hassan Mwinyi leo Machi 1, 2024 ambapo Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango anaongoza shughuli hiyo ya taifa kwa niaba ya Rais Samia Suluhu.

Share To:

Post A Comment: