4D233CB1-460D-4741-9F5F-9B16D37B517C



Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 25 Machi, 2024 anashiriki katika ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Afya ya Msingi nchini unaofanyika jijini Dodoma.


Kaulimbiu ya Mkutano huo ni Huduma ya Afya ya Msingi ni  Nyenzo ya Kufikia Huduma ya Afya kwa Wote nchini (Primary Health  Care as a Vehicle  for  the Journey to Achieve Universal health Coverage in Tanzania)


Viongozi mbalimbali wa Serikali na wadau wa Sekta ya Afya wamehudhuria mkutano husika.


Taarifa rasmi itawasilishwa

F4610F1E-CAF0-49E0-8D58-D0F3C087E14D
6B7D88B3-3F0E-491F-AB29-6098C1E83D17

FE161591-8F4B-45D1-A946-DA44957DD33D

F9BD3313-25E7-445B-B989-9AF69456F468

D45DE375-A5C0-4B6E-B651-89262014C414

Share To:

Post A Comment: