Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameitaka Menejimenti ya Ofisi hiyo kuendelea kufanya kazi kwa weledi, ubunifu na ufanisi katika kutekeleza majukumu yao.

Prof. Ndalichako amebainisha hayo Desemba 12, 2023 Jijini Dodoma alipokuwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa mpango na bajeti ya (fungu 65) kwa kipindi cha Julai hadi Novemba 2023.

Share To:

OKULY BLOG

Post A Comment: