SRRIKALI kupitia Mamlaka ya Afya Mimea na Viwatilifu (TPHPA) imemaliza operesheni ya siku tano mkoani Pwani kwa ajili ya kuangamiza mazalia ya makundi ndege aina ya kwelea kwerea. Ndegw hao zaidi ya milioni nne waliovamia mkoani humo na kufanya uharibifu katika mashamba ya mpunga, lenye wakulima 900 na eka 1800. 


Kaimu Meneja TPHPA Kanda ya Mashariki Mahmoud Sasamaro, alisema kuwa operesheni hiyo imekamilika juzi, baada ya kuhakikisha kila sehemu iliyokuwa na ndege hao wamekwisha.

"Tumefanikiwa kwa asilimia kubwa kuteketeza Kwerea Kwerea, operesheni haikuwa nyepesi, kila siku tulikuwa tunahakikisha wanakufa,leengo likiwa kuondolea wakulima usumbufu wa kutafuta walinzi wengi mashambani, " amesema Sasamaro.

Mratibu wa Operesheni ya kuangamiza ndege kwerea kwerea Mkoa Pwani Bradman Mbukoi amesema kukamilisha wamu ya opeshezani ya kuangamiza ndege kwerea kwerea amesema imemaliza kilio cha wakulima wa mpunga kupoteza mpunga wao kwa kuharibiwa na ndege hao.

Mbukoi amesema katika bonde hilo la Ruvu wamemaliza ndege hao kwa asilimia kubwa na kwamba operesheni hiyo haikuwa nyeoesi kutokana na wingi wa Kwerea Kwerea.

Ambapo awali walitarajia Iwe ya siku tatu, walishindwa kufikia matarajio wakaongeza siku mbili, ambazo mwisho wake ilikuwa juzi.

Mbukoi alisema hiyo baada ya kila ndege inapomwaga dawa katika maeneo wanayolala, kuona bado kuna mazalia ambao nap wanatakiwa kuungamizwa.
Katika operesheni hiyo ya kuangamiza makundi ya ndege kwerea kwerea shamba la ushirika wa wakulima wa umwagiliaji wa mpunga Chauru limetajwa kuathiriawa zaidi na ndege hiyo na hapa mwenyekiti chauru, chacha sadala, meneja wa ushirika huo shaumina shoo na mmoja wa wakulima wanazungumzia ooeresheni hiyo.


Wakati huo huo Mwenyeliti wa Chauru Sadalla Chacha amesema kuwa kwa upande wa wakulima wanamshuru Rais Samia Hassan Suruhu kwa kuwajali na kuwaletea ndege ya kumwagilia dawa katika mashamba yao. 


Ndege aina ya kwerea kwerea waliovamia katika mashamba ya mpunga ya ushirika chauru kata ya vigwaza na mashamba mengine yaliyopo kkatika kata za milo ,dutumi, migude kitomga.

Share To:

Post A Comment: