Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakitazama madini mbalimbali ya metali wakati walipotembelea banda la Kampuni ya Mineral Access Tanzania Limited inayojihusisha na uchimbaji na ununuzi wa madini, katika maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. Kushoto ni Waziri wa madini, Doto Biteko na wa nne kushoto ni Mke wa Rais wa Awmu ya Nne Mama Salma Kikwete. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salima Kikwete (kulia) wakitazama madini ya chuma wakati walipotembelea banda la Umoja wa Wachimbaji Wadogo Nachingwea katika Maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika Mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)




Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salima Kikwete (kulia) wakitazama madini ya Bunyu wakati walipotembelea banda la Umoja wa Wachimbaji Wadogo Nachingwea katika Maonesho ya Madini na Uwekezaji Mkoa wa Lindi yaliyofanyika Mjini Ruangwa na kufungwa na Waziri Mkuu, Agosti 26, 2023. Kushoto ni Waziri wa Madini, Doto Biteko.
Share To:

Post A Comment: