Na Mapuli Misalaba, Shinyanga

Serikali ya Mkoa wa Shinyanga kupitia Idara ya Ustawi wa jamii imevitaka vituo 64 kati ya 88 vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi kusajili vituo hivyo.

Rai hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 20,2023 na Afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Shinyanga Bi. Lydia Kwesigabo kwenye kikao cha pamoja na wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi ambacho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Pamoja na mambo mengine Afisa huyo amesisitiza vituo hivyo kuchukua hatua za haraka kukamilisha usajili.

Akizungumza katika kikao hicho Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Shinyanga Bwana Tedson Ngwale amewahimiza wamiliki wa vituo hivyo kuongeza kutoa huduma za malezi kwa watoto ili waweze kukua katika maadili mema.

Kwa upande wake afisa lishe Mkoa wa Shinyanga Bwana Joseph Hamis amewaomba wamiliki wa vituo hivyo kuhakikisha watoto wanakula vyakula vyenye virutubisho huku akisisitiza usafi ili kuepukana na magonjwa mbalimbali.

Katika kikao hicho yamefanyika maadhimio ya pamoja ambayo yamesomwa na Naibu katibu tawala Mkoa wa Shinyanga Dkt. Nuru Mpuya ambaye pia ni Naibu mganga mkuu Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga.

“Ifikapo tarehe 30 Mwezi wa tisa (9) Mwaka huu 2023 tuwe tumekamilisha usajili vituo vyote ukikutwa hujakamirisha vigezo hivyo wataalam kutoka Halmashauri watakuja kuvifungia, tumeadhimia vituo vipya visianze kabla ya kukamilisha usajili, lakini kingine tumeadhimia kuwa na vikao vya wataalam wa Halmashauri na wamiliki wa vituo hivi mara mbili au mara nne kwa Mwaka adhimia lingine wamiliki wa vituo kuhakikisha wanatuma taarifa za kila robo ya huduma mnazozitoa”.amesema Dkt. Nuru 

Baadhi ya wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi wameahidi kwenda kutatua changamoto zilizopo huku wakitaja changamoto zinazokwamisha usajili ikiwa ni pamoja na changamoto ya uchumi kwa wamiliki.

Afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Shinyanga Bi. Lydia Kwesigabo akiwahimiza wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi Mkoa wa Shinyanga kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria na taratibu zilizopo.

Afisa maendeleo ya jamii Mkoa wa Shinyanga Bwana Tedson Ngwale akiwakumbusha mambo muhimu mbalimbali wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi katika ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Naibu katibu tawala Mkoa wa Shinyanga Dkt. Nuru Mpuya ambaye pia ni Naibu mganga mkuu Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Shinyanga akitaja maadhimio mbalimbali waliyokubaliana katika kikao hicho cha wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi.

Kikao cha serikali na wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi kikiendelea leo Alhamisi Julai 20,2023 katika ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga.

Kikao cha serikali na wamiliki wa vituo vya kulelea watoto wadogo, makao ya watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira hatarishi kikiendelea leo Alhamisi Julai 20,2023 katika ukumbi wa mikutano ofisi ya mkuu wa Mkoa wa Shinyanga

Share To:

Misalaba

Post A Comment: