"Mambo mazuri tayari yamefanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, sisi wasaidizi wake katika Chama ni kuhakikisha changamoto zote tunazichukua na kuhimiza na kusimamia kuhakikisha Serikali inazitatua"  

"Rais Dkt. Samia ameshatoa fedha Tsh Bilioni 2 kwaajili ya mradi wa maji hapa Lupeta, sasa nimesikia hapa mradi unasuasua hivyo kabla sijaondoka nitamuelekeza Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso aje hapa na atawaeleza mrad unakamilika lini na faida zake kwenu Wananchi, nanyi mjitokeze kwa wingi kumsikiliza"  Katibu Mkuu CCM Taifa Ndg. Daniel Chongolo, akizungumza katika ziara yake aliyoambatana na Sekretarieti ya CCM, Leo tarehe 15 Juni, 2023 Wilayani Mpwapwa Jijini Dodoma.  

Share To:

Post A Comment: