Kiongozi wa Mbio za mwenge wa uhuru Kitaifa 2023 Abdallah Shaibu Kaim Akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Nunsu mara baada ya kukagua msitu wa asili wa Mafifi.
Wanakikundi  kutoka Kijiji cha Nundu wakipokea Mzinga wa nyuki kutoka kwa Mkimbiza Mwenge wa Uhuru kitaifa mara baada ya kupanda miti katika msitu wa Asili.

Muonekano wa Mashine ya X Ray katika kituo cha Afya cha Ihalula kilichopo katika Kata ya Utalingolo 

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 Ndugu Abdallah Shaibu Kaim akikagua madawati katika moja ya madarasa manne yaliyojengwa katika Shule ya Msingi Luponde.


Mwanafunzi wa Kidato cha Pili Lucia Petro Katika Shule ya Sekondari Matola akiwa anapokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkimbiza Mwenge.

Wananchi wa Kata ya Utalingolo wakimsikiliza Ujumbe wa Mbio za Mwenge 2023 kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge 2023 Ndugu Abdallah Shaibu Kaim.

Share To:

Post A Comment: