Rufiji FM - Raha ya Pwani Redio pendwa kwa watu wote sasa rasmi yazinduliwa Ikwiriri- Rufiji saa chache zijazo.

Ni kituo Bora kabisa kwa ajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha na kuwaelemisha Warufiji, Wanapwani na watanzania kwa ujumla.

Unangoja nini njoo tushiriki pamoja na uwe sehemu ya historia hii, katika tamasha la Uzinduzi!!!!!!

Wasanii mbalimbali watapanda na kubamba.

Unakosaje kwa mfano?????
Share To:

emmanuel mbatilo

Post A Comment: