MATUKIO KATIKA PICHA 

Kikao cha maboresho ya Bandari ya Tanga chafanyika Leo chini ya Mwenyekiti Mkurugenzi wa Huduma za Usafirishaji Eng.A.Kissaka

Kikao hiko kilifuatiwa na zoezi la majaribio ya kuingiza Treni ndani ya bandari ya Tanga, mara ya mwisho Treni kuingia ni miaka 20 iliyopita.

Uwepo za treni hizo utapunguza gharama za usafirishaji kwa mteja
Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: