Mara nyingi wafugaji wengi wamekuwa wakilalamika ya kwamba kuku wao wamekuwa hawatagi, na wengi wao wamekuwa hawajui kwanini inakuwa hivyo.

Sababu ya Kuku kupunguza utagaji ni kama zifuatazo;-
Wamebanana, yaani hawakai kwa raha.

- Majogoo yamezidi katika chumba(weka jogoo 1 kwa mitetea 10)

- Hawapewi maji safi ya kutosha.

- Kuku wamezeeka (umri zaidi ya miaka miwili na nusu).

Mwanga hautoshi.

Hawakupewa chakula bora au cha kutosha.

Maumbile ya kuku mwenyewe.
Share To:

Post A Comment: