Kamishna wa Uhifadhi TANAPA William S. Mwakilema alipongeza Shirika la hifadhi za Taifa Tanzania kwa kuendelea kuhifadhi Maliasili na juhudi zinazofanywa za kutangaza utalii.

Ameyasema hayo alipotembelea Banda la TANAPA wakati wa uzinduzi wa mkakati wa kukuza utalii wa kusini mwa Tanzania uliofanyika katika mkoa wa Njombe.

Kwa upande wake Mkuu wa kituo cha zana za mawe cha Isimila Natalia  Joseph alisema kuwa kuna umuhimu mkubwa wa kuendelea kuzitunza zana hizo kwa ajili ya utalii na kutunza historia.




Share To:

JUSLINE

Post A Comment: