Jumla ya watu 19 wamefariki na majeruhi 7 katika ajari iliyohusisha Lori aina ya scania na coster iliyotoka  mji wa mafinga wilaya ya Mufindi mkoani Iringa alfajili ya leo.Akitoa taarifa kwa mkurugenzi wa mji wa mafinga, mganga mfawidhi Dr. Victor Msafiri alisema kuwa ajali imetokea  na imesababisha vifo na majeruhi ambao bado wanaendelea kupata matibabu katika hospital hiyo.


Alisema kuwa Majeruhi wanaendelea kupata huduma na mili baadhi imetambulika jeshi la polisi linaendelea kuwatambua majeruhi

Waliofariki na kuwasiliana na ndugu zao


Kwa upande wake Mkurugenzi Bi, Happiness Laizer amewatembelea majeruhi na kuwaomba madaktari kuwapa hudumu bora  kwa uhakika.

Share To:

Post A Comment: