Mchezaji wa PSG awasili katika hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya kutembelea hifadhi hiyo Mapema Leo hapa akishuka katika kiwanja Cha ndege Cha Soronera kutembelea hifadhi ya Serengeti  picha zote na Ahmed Mahmoud 
Mchezaji wa kulipwa wa Timu ya mpira wa miguu nchini Ufaransa PSG Ander Herrera amewasihi hifadhi ya Taifa ya Serengeti Mapema Leo kutembelea vivutio hapa akiwa kiwanja Cha ndege Soronera kwa ajili ya kutembelea hifadhi ya Serengeti
Mchezaji wa PSG Ander Herrera amewasili Hifadhi ya Taifa ya Serengeti hapa akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa hifadhi hiyo mara baada ya kumpokea Mapema leo
Ander Herrera akiwa na Mkewe walipopata picha mara baada ya kuwasili katika Ofisi za hifadhi ya Taifa ya Serengeti kutembelea hifadhi hiyo Mapema Leo 
Mchezaji wa kulipwa wa Mpira wa Timu ya PSG ya Ufaransa Ander Herrera akiwa katika kiwanja Cha Ndege Cha Soronera mara baada ya kuwasili kutembelea hifadhi ya Serengeti Mapema Leo 

Share To:

Arusha Newsroom

Post A Comment: