Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi ya Shilingi milioni 13 Afisa Msaidizi wa Mtendaji Mkuu akiwakilisha Chama cha Tughe Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Wafanyakazi kutoka Sehemu mbalimbali nchini katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya kushiriki Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022. 

Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali, Binafsi pamoja na Sekta mbalimbali wakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoa ujumbe mbalimbali kuhusiana na Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wakiwa katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wafanyakazi waliokuwa wakipita mbele ya Jukwaa Kuu na ujumbe mbalimbali wa siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Kattanga, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Rais wa TUCTA Tumaini Nyamhokya wakiimba nyimbo ya Mshikamano (Solidarity) 

Wafanyakazi kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali wakiwa katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama mara baada ya kushiriki katika Sherehe za siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi ambapo Kitaifa zimefanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 01 Mei, 2022.

Share To:

Post A Comment: