Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Laigwnani Metui Ole Shaudo mapendekezo ya Wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro kuhusu namna bora ya kudumisha Hifadhi ya Ngorongoro wakati alipokutana na Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Shangay Malaigwani, Madiwani, Wenyeviti wa Vijiji pamoja na wawakilishi wa wanawake na Vijana kutoka wilaya ya Ngorongoro, ofisini kwa Waziri Mkuu,Mlimwa jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Laigwnani Lawrance Ngorisa mapendekezo ya Wananchi wa Tarafa za Loliondo na Sale wilayani Ngorongoro kuhusu namna bora ya uhifadhi wakati alipokutana na Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Shangay, Malaigwani, Madiwani, Wenyeviti wa Vijiji pamoja na wawakilishi wa wanawake na vijana wa tarafa za wilaya hiyo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madiwani, wenyeviti wa Vijiji, Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Shangay pamoja na wawakilishi wa vijana na wanawake wakati alipopokea mapendekezo ya wananchi wa Tarafa za Ngorongoro, Loliondo na Sale wilayani Ngorongoro kuhusu namna bora ya uhifadhi kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Baadhi ya Madiwani, Wenyeviti wa Vijiji na wawakiizshi wa wanawake na vijana wa Tarafa za Ngorongoro, Loliondo na Sare wilayani Ngorongoro wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza nao baada ya kupokea mapendekezo ya Wananchi wa Tarafa hizo kuhusu namna bora ya uhifadhi kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Malaigwanani kutoka Tarafa za Ngorongoro, Loliondo na Sale wilayani Ngorongoro baada ya kupokea mapendekezo ya mwananchi kuhusu namna bora ya uhifadhi katika tarafa hizo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 25, 2022. Kulia wake ni Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Sangay na kushoto wake ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Ole Senge.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wawakilishi wa wanawake kutoka Tarafa za Ngorongoro, Loliondo na Sale wilayani Ngorongoro baada ya kupokea mapendekezo ya mwananchi wa Tarafa hizo kuhusu namna bora ya uhifadhi katika tarafa hizo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Mei 25, 2022. Kulia wake ni Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Sangay na kushoto wake ni Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Ngorongoro, Ndirango Ole Senge. 
Share To:

Post A Comment: