Na Mwandishi wetu,Chunya


KATIKA kutambua umuhimu wa jamii Mbunge wa Lupa, Chunya Mhe. Masache Kasaka amekabidhi msaada wa  Mabati ya kuezekea Msikiti wa Kata ya Mamba. 

Mabati hayo yamekabidhiwa kwa Sheikh na waislamu wa Mamba na Katibu wa Mbunge Tarafa ya Kipembawe ,Japhet Mwasibata.

Mwasibata amesema msaada huo bando mbili za bati amekabidhi kwa niaba ya mbunge wa Lupa .


Share To:

emmanuel mbatilo

Post A Comment: