Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi, Stephen Adili akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Wamachinga iliyoendeshwa na Benki ya CRDB leo tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba. Mafunzo haya yamehudhuriwa na  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es  salaam (Machinga Saccos) na baadhi ya wawakilishi wa wafanyabiashara hao kutoka  Mikoa yote Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa ushirikiano tulionao kati ya Benki yetu na wafanyabiashara wadogo (Wamachinga).
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa  Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es  salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB leo tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es  salaam, Steven Lusinde akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Shirikisho la Wamachinga mkoa wa Dar es salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB leo tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.

 
 
 

 















 
Share To:

Post A Comment: