Na Mwandishi Wetu.


Yakiwa yamebakia masaa kadhaa kuelekea ile siku ambayo Watanzania na dunia kwa ujumla  hasa dhehebu la kikristo wanaelekea kusheherekea kuzaliwa kwa Mkombozi wao Yesu Kristo Katibu UVCCM Hanang' Bi. Mwanaidi Kipingu amewatakia Usheherekeaji mwema wa sikukuu hizo za Krismas na Mwaka Mpya.

Akizungumza na Msumba blog Bi. Mwanaidi amesema kuwa 

" Kama ilivyo kawaida yetu sisi Watanzania ni watu wa amani, kwahiyo naomba nichukue nafasi hii kuwatakia Wakristo wote na watanzania kwa ujumla usheherekeaji mwema wa sikukuu hizi , waendelee kudumisha misingi ya amani, upendo na utulivu ambayo serikali yetu pendwa chini ya Kiongozi Wetu Nambari moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan imeiweka .

Alimalizia Bi. Mwanaidi 

Share To:

Adery Masta

Post A Comment: