Mkuu wa wilaya Mh. Kanali Isack Mwakisu, aongoza Halmashauri ya mji wa Kasulu, kukabidhi Vyumba vya Madarasa 57 vilivyokamilika kwa asilimia 100% kwa Mkuu wa Mkoa Kigoma Thobias Andengenye,

 katika Hafla Fupi iliyofanyika katika Shule ya Sekondari ya Murubona, iliyokamilisha Madarasa Mawili, iliyowakilisha Shule zingine za Mji wa Kasulu.


Mkuu wa Mkoa apongeza sana ushirikiano na Kasi yenye ufanisi Mkubwa katika Kukamilisha Mradi huo kwa wakati na ubora Mkubwa. 


Asisitiza ushirikiano huo kuendelea ili kuleta Maendeleo Makubwa ya Mji wa Kasulu, yanayoweza kuleta Neema ya Mji huo kuwa Manispaa hapo Baadae.

Share To:

Post A Comment: