Siku chache baada ya Serikali Mkoani Arusha kuendelea na utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan juu ya kuwapanga wafanya biashara ndogondogo maarufu Machinga,hatimae Serikali Mkoani humo kwa kushirikana na uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, imeendelea na utekelezaji wa zoezi hilo kwa kuwapanga wasakatonge hao katika maeneo rasmi ili kuendelea na shughuli za uzalishaji katika biashara zao.  Muonekano wa Barabara ya kuingia Stand kuu ya Mabasi 

Hali ilivyo nje ya Soko Kuu la ArushaMuonekano wa mitaa mbalimbali ya FriendsCorner
Hali ilivyo katika barabara ya Idara ya Maji Baada ya Machinga kuondolewa

Share To:

Post A Comment: