Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameongoza Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza.
Wananchi wa Mwanza pamoja na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali
nchini wakiwa katika za Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika katika Viwanja vya Red Cross Mkoani Mwanza leo tarehe 08 Septemba 2021.Share To:

Post A Comment: