Nasikitika kuwatangazia Kifo Cha Mhe Khatib Haji  Mbunge wa Jimbo la Konde, ambaye umauti umemfika akiwa anapatiwa Matibabu katika hospitali ya Rufaa ya Muhimbili Alfajiri ya leo, mipango ya mazishi inaendelea na tutajulishwa baadae kidogo, kwa Niaba ya Idara ya Bunge, Baraza la Wawakilishi na Serikali za Mitaa natoa pole kwa Kiongozi wa Chama na Viongozi wengine wote Familia, na Wananchi wa Jimbo la Konde, Allah Amsamehe makosa yake, ampe kauli thabiti ampe pepo ya Firdaus na sisi atujaalie mwisho mwema Aamin.

Imetolewa na 

Hamad Yussuf

Katibu Idara ya Bunge Baraza la Wawakilishi

Na Serikali za Mitaa

Share To:

msumbanews

Post A Comment: