Mbunge wa Viti maalum kupitia vijana Taifa Asia Halamga ametembelea baadhi ya shule za Sekondari zilizopo katika Mkoa wa Manyara.

 


Mh.Halamga mapema  jana alitembelea Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara,  na kushiriki sherehe ya kuwapongeza wahitimu waliofaulu mitihani ya kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Sunya.


Alipofika shule ya Sekondary Sunya alikutana na changamoto mbalimbali kama Upungufu wa Mabweni ya Wasichana na uhitaji wa vifaa vya Umeme wa jua(Solar Panels) Ili kuwezesha Wanafunzi wetu wa kike wanaokaa Bweni kujisomea usiku bila changamoto.


"Ili kuhakikisha changamoto zilizowasilishwa kwa risala zinatatuliwa mara Moja Kwa kushirikiana na  Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe.Edward Ole Lekaita Kisau, wamechangia Mifuko 115 ya saruji Ili kukamilisha ujenzi wa hostel ya Wasichana.


Na Pia Mh Asia Amesema kwakua yeye ni Mbunge wa Vijana na mwanamke anatambua Umuhimu wa Elimu kwa mtoto wa kike.


Pia Mh Halamga alisimamia zoezi la kuhamasisha wazazi waliyohudhuria sherehe hiyo kukusanya pesa papo kwa papo yaani Harambee kama unavyoona kwa kumuita na Kumfuata mzazi mmoja mmoja ili kupata Michango kwa ajili ya jukamilsMh Asia Halamga (MB ) kupitia vijana  alitembelea baadhi ya shule za Sekondari zilizopo Mkoa wa Manyara, na Tarehe 7/03/2021  ambapo alitembelea Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara,  na kushiriki sherehe ya kuwapongeza wahitimu waliofaulu mitihani ya kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya Sunya.


Alipofika shule ya Sunya alikutana na changamoto mbalimbali kama Upungufu wa Mabweni ya Wasichana na uhitaji wa vifaa vya Umeme wa jua(Solar Panels) Ili kuwezesha Wanafunzi wetu wa kike wanaokaa Bweni kujisomea usiku bila changamoto.


" Ili kuhakikisha changamoto zilizowasilishwa kwa risala zinatatuliwa mara Moja Kwa kushirikiana na  Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe.Edward Ole Lekaita Kisau Tumechangia Mifuko 115 ya saruji Ili kukamilisha ujenzi wa hostel ya Wasichana, na kwakua mimi ni Mbunge wa Vijana na mwanamke natambua Umuhimu wa Elimu kwa mtoto wa kike, nilisimamia shughuli ya kuhamasisha wazazi waliohudhuria sherehe hiyo kukusanya pesa papo kwa papo kama unavyoona kwa kumuita na Kumfuata mzazi mmoja mmoja ili kupata michango ya kuharakisha ujenzi huo na watoto wetu wa kike wakae mazingira mazuri ya kusomea.


Kazi inaendelea Manyara.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: