Msimamizi wa mradi wa ujenzi wa chuo cha uongozi na itikadi cha Mwalimu Nyerere, Kibaha Emmanuela Kaganda  akitoa taarifa ya mradi kwa mwenyekiti wa baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi (CCM) Anna Abdallah  (kulia) pamoja na wajumbe wa baraza hilo walipotembelea kujionea ujenzi wa chuo hicho.

Naibu katibu mkuu wa CCM Bara, Rodrick Mpogolo (aliyesimama) akitoa maelekezo wakati wajumbe wa baraza la wadhamini la CCM walipokwenda kutembelea na kujionea maendeleo ya ukamilishaji wa ujenzi wa Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere, kilichopo Kwamfipa,Kibaha, Mkoani Pwani.
Mwenyekiti wa baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Anna Abdallah  (aliyesimama) akizungumza jambo wakati alipoambatana na wajumbe wa baraza hilo ,kwenda kutembelea na kujionea maendeleo ya ukamilishaji wa ujenzi wa Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kwamfipa Kibaha, Mkoani Pwani, wa kwanza kulia aliyekaa ni Msimamizi wa mradi huo ,Emmanuela Kaganda.

 
Share To:

Post A Comment: