🔴#LIVE: Kinachoendelea Bungeni Dodoma Leo Feb 2, 2021 msumbanews on February 02, 2021 Mkutano wa pili wa Bunge la 12 unatarajiwa kuanza leo, Februari 02 hadi Februari 12.Wabunge watauliza maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu. Pia watajadili hotuba ya Rais ya ufunguzi rasmi wa Bunge Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: