Kazi ya unjezni wa  Machinjio ya kisasa ya Vingunguti ukiendelea kwa kasi jijini Dar,ujenzi huo unafanyika usiku na mchana,huku Mkuu wa Mkoa Mh Paul Makonda akikesha na kushiriki kwa ukamilifu kumwaga zege kuhakikisha mradi huo muhimu kwa Wakazi wa jiji la Dar na Watanzania kwa ujumla unakimilika mapema iwezekanavyo.
 Mkuu wa Mkoa Mh.Makonda akishiriki kuweka zege kwenye moja ya nguzo 
 Rc Makonda akiwana baadhi ya wajenzi wa mradi huo kwa pamoja wakishuhudia unwagaji zege kwenye maeneeo mbalimbali ukiendelea 
 Ujenzi ukiendelea



Share To:

msumbanews

Post A Comment: