Mwanafunzi wa Kwanza Kitaifa (Tanzania One) kwenye mtihani wa kidato cha sita mwaka 2019 katika masomo ya Sayansi (PCB) kutoka  Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga Faith Nicholous Matee (wa pili kulia), akipokea zawadi kutoka kwa mgeni rasmi Philip Magani (wa pili kushoto). Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. Shule hiyo ilianzishwa mwaka 1989 na Padre Damian Wiliken, imetimiza miaka 30, mwaka huu. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ta Shule hiyo Elishilia Kaaya (kushoto) na Mkuu wa Shule hiyo Mtawa Evetha Kilamba (kulia). (Picha na Yusuph Mussa).
 Meneja wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga Padre Damian Wiliken (kulia) akiangalia zawadi aliyopewa na baadhi ya wanafunzi waliosoma shuleni hapo huku akipeana mkono na Mwenyekiti wa Bodi ya Shule hiyo Elishilia Kaaya (kushoto). Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. (Picha na Yusuph Mussa).
 Meneja wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga Padre Damian Wiliken akiangalia zawadi aliyopewa na baadhi ya wanafunzi waliosoma shuleni hapo. Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. (Picha na Yusuph Mussa).

 Mmoja wa wanafunzi wa  Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga Mtawa Fokas Mjema  ambaye alisoma hapo kidato cha kwanza hadi cha nne mwaka 1993- 1996, na kidato cha tano na sita 1997- 1999. Kwa sasa ni Mkuu  wa Shule ya Sekondari ya St. Catherine iliyopo Lushoto. Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. Shule hiyo ilianzishwa mwaka 1989 na Padre Damian Wiliken, imetimiza miaka 30, mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa).
 Baadhi ya wanafunzi waliosoma kwa nyakati tofauti Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga wakiwa na zawadi kabla ya kuzikabidhi kwa viongozi wa shule hiyo akiwemo Meneja wa Shule hiyo Padre Damian Wiliken. Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. (Picha na Yusuph Mussa).
Mmoja wa wanafunzi waliosoma  Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga Sikudhani Adam ambaye ni mwenyeji wa Lushoto  akitambulishwa mbele ya kaumu. Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. Shule hiyo ilianzishwa mwaka 1989 na Padre Damian Wiliken, imetimiza miaka 30, mwaka huu. Sikudhani ndiyo alikuwa Dada  Mkuu wa kwanza wa shule hiyo mwaka 1989- 1991. Kwa sasa ni Mjumbe wa Bodi ya Shule hiyo, na ni Mhasibu Msaidizi wa Tourisim Promotion Reruice (T) Ltd. (Picha na Yusuph Mussa).
Baadhi ya wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa kwenye mtihani wa kidato cha sita mwaka 2019 na kuingia kwenye Kumi Bora wasichana wanane (8)  kutoka  Shule ya Sekondari ya Wasichana ya St. Mary's Mazinde Juu iliyopo Lushoto mkoani Tanga wakiongozwa na Mwanafunzi wa Kwanza Kitaifa Faith Nicholous Matee (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja. Ni kwenye mahafali ya kidato cha nne ya shule hiyo yaliyofanyika Septemba 21, 2019. Shule hiyo ilianzishwa mwaka 1989 na Padre Damian Wiliken, imetimiza miaka 30, mwaka huu. (Picha na Yusuph Mussa).
Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: