Je unamradi (project) yoyote ambayo bado hujafanya TAATHIMINI YA KIMAZINGIRA(ENVIRONMENTAL IMPACT ASSESSMENT) NA KUPATA CHETI ILI UENDELEE NA MRADI WAKO? Mradi hiyo ni kama
1.Ujenzi wa Magorofa
2.ujenzi wa Petrol station
3.Ujenzi wa Viwanda
4.Mashamba makubwa
5.Ujenzi wa Shule
6.Machimbo ya madini/Migodi
7.ujenzi wa mabwawa
8.Ujenzi wa barabara
9.Minara ya Simu na ikishajengwa tunaifanyia ukaguzi
10.Ufuaji na usambazaji wa umeme
Kama bado tuwasiliane kwa no 0716 731486/0743 111251
clean.e@yahoo.com
Share To:

msumbanews

Post A Comment: