Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi leo jijini Dar es Salaam kimemteua Ndg. Christopher Kajoro Chiza kuwa Mgombea wa ubunge katika Jimbo la Buyungu kwa tiketi ya chama hicho.



Share To:

msumbanews

Post A Comment: