Maandalizi ya uzinduzi wa Ukuta kuzunguka migodi ya Tanzanite Mirerani wakamilika ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Ijumaa hii Aprili 06, 2018 mkoani Arusha.
Tazama picha zaidi;

Post A Comment: