Dkt. Miguna akiwa hospitali nchini Duba
 Mwanasiasa wa muungano wa upinzani nchin Kenya Nasa, Dkt. Miguna Miguna amelazwa hospitali nchini Dubai baada ya kulalamika kupata maumivu ya mbavu na mwili, kutokana na kipigo wakati akifukuzwa kutoka Kenya.

Miguna kupitia mtandao wa Facebook, amesema kuwa alishambuliwa na kupewa dawa na alipozinduka alijikuta yupo Dubai.
“I was dragged, assaulted, drugged and forcefully flown to Dubai. I woke up in Dubai and the despots are here insisting that I must travel on to London. I’m sick. I need medical treatment. A Mr. Njihia is threatening me. I need urgent help here,” amandika Miguna kwenye mtandao huo.
“I want to take a flight only to Nairobi. Nowhere else!
I’m sick. My ribs and body is hurting all over. This is a travesty of justice!,” ameongeza.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: