Aliyekuwa Mwenyekiti wa baraza la Vijana Chadema ( BAVICHA ) na kukihama chama hicho na kujiunga na chama cha Mapinduzi ( Ccm ) Ndg: Patrobas Katambi .

Ameeleza sababu kuu za chadema kushindwa uchaguzi wa marudio Akizungumza hayo kwenye kampeni  Mjini Siha Alisema  

"Wagombea Kinondoni na Siha si wakazi na hawatajipigia kura, Hakuna Sera,Kutukana watu jukwaani badala ya kunadi sera. Mafanikio makubwa ya kimaendeleo yaliyofanywa muda mfupi na Mhe. Rais Magufuli, Mhe. Makamu wa Rais  Samia Suluhu, Mhe. Waziri Mkuu  Majaliwa pamoja na Mabadiliko makubwa ya CCM mpya chini ya Katibu Mkuu Comrade A. KINANA yameongeza sana imani ya Wananchi kwa CCM na Serikali yao"
Share To:

msumbanews

Post A Comment: