Madiwani watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika wilaya ya Ngorongoro wamejiuzulu nafasi zao na kujiunga na CCM.

Wamedai kuwa uamuzi wao huo wa kukihama chama cha CHADEMA ni wa kumuunga mkono Raisi John Magufuli katika utendaji wake wa kazi.

Madiwani hao ni Daniel Olkery wa kata ya Ngorongoro, Lazaro Saitoti kata ya Ngoile pamoja na Sokoine Moir ambaye ni diwani wa kata ya Alaitole.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: