Timu ya Liverpool ya Uingereza imeishushia kipigo cha mbwa mwizi timu ya Porto baada ya kuinyuka bao 5-0 mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku Sergio Monwy akitupia hat trick.


Share To:

msumbanews

Post A Comment: