Ligi kuu soka Tanzania Bara  inaendelea leo katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam kutakuwa na shughuli kati ya Simba na Mbao Fc mechi ikianza saa kumi kamili jioni.


Hiki hapa Kikosi cha Simba Dhidi ya Mbao Fc


 1. Aishi Manula
 2. Shomary Kapombe
 3. Asante Kwasi 
 4. Yusuph Mlipili
 5. Erasto Nyoni
 6. Jonas Mkude 
 7. Shiza Kichuy
 8. Said Khamis
 9. Emmanuel Okwi
 10. Nicola Gyan
 11. James Kotei

Wachezaji wa Akiba
 1. Ally Salim
 2. Mohamed Hassan
 3. Mzamiru Yassin
 4. Laudit Mavugo
 5. Mwinyi Kazimoto
 6. Paul Bukaba
 7. Rashid Juma
Share To:

msumbanews

Post A Comment: