Mwili wa binadamu unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika kwa namna mbili, kupitia mazingira tunayoishi ama kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kila siku.
Leo katika habari za afya nakuleta aina saba za juisi zinazoweza kuondoa sumu bila kufanya mazoezi. Jisi hizo ni
1. Juisi ya mchanaganyiko wa tango na spinachi.

2.Jusi ya mchanganyiko wa tangawizi na spinachi.

3. Juisi ya mchanganyiko wa chungwa na tango.

4. Juisi ya komamanga pamoja na mapera.

5. Juisi ya changanyiko wa passion na tango.

6. Juisi ya mchanganyiko wa apple na parachichi.

7. Juisi ya mchanganyiko wa mbegu za maboga na strawberry.
KUMBUKA:
Nunua mahitaji husika na kisha unayasaga kwa kifaa husika cha kusagia (brenda) iliupate mchanganyiko unaotakiwa
Share To:

msumbanews

Post A Comment: