Wananchi wa Kata ya Kimandolu Mkoani Arusha wakiwa katika msululu wa kupiga kura ya kumchagua Diwani wa kata hiyo.
Mmoja wa wananchi  akipiga kura ya kumchagua diwani wa kata katika Kituo cha Kurugenzi kilichopo kata ya Kimandolu mapema asubuhi ya leo.

 Mpiga kura akitumbukiza shahada yake baada ya kumaliza kupiga kura.Wananchi wakiwa wamejipanga foleni kwa ajili ya kupiga kura katika Kituo cha Kijenge Sokoni Kata ya Kimandolu.Share To:

msumbanews

Post A Comment: