Kamati iliyoundwa na Rais John Magufuli kuchunguza biashara ya madini ya Tanzanite, imeanza mazungumzo na kampuni ya Tanzanite One.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Palamagamba Kabudi amesema mazungumzo hayo yameanza vizuri.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: