Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mzee Kingunge Ngombale Mwiru aliyepumzishwa katika chumba cha dharura katika hospitali ya Taifa Muhimbili leo jioni.


Mzee Kingunge alikimbizwa hospitalini hapo baada ya kujisikia vibaya. Jopo la Madaktari bingwa linamfanyia uchunguzi ili kubaini ugonjwa unaomsumbua. Kushoto kwake (aliyeketi) ni Mke wa Rais Mama Salma, Mke wa Kingunge (nyuma ya Rais) na mwanaye Kinjekitile (nyuma kabisa kushoto)
Share To:

msumbanews

Post A Comment: