Matukio katika habari picha, fiesta ilivyofaana katika Uwanja wa Sokoine_Jiji la Mbeya.


Msanii wa mziki wa kizazi kipya

Anaimba Rnb, Zax 4Real  anayewakilisha vyema kabisa kutoka Jiji la Mbeya,  akitoa burudani yake katika usiku wa Fiesta jiji la Mbeya.Wasanii mbali mbali wakitumbuiza kwenye Fiesta hiyo….
Share To:

msumbanews

Post A Comment: