Habari kubwa zinazosambaa kwa kasi sasa hivi msomaji wangu  moja nii hii iliyoripotiwa na kituo kikubwa cha habari Kenya cha Citizen kupotea kwa Rais wa Malawi, Peter Mutharika ambae hajarudi nchini kwake tangu alivyoondoka kuelekea New York Marekani kwenye mkutano mkubwa wa Umoja wa Mataifa kwa mujibu wa rekodi imetajwa kuwa aliondoka nchini New york, September 15 2016 na mpaka sasahivi hajawasili nchini kwake Malawi.

Rais Mutharika amepotea kwa muda wa wiki 3 tangu sasa aondoke nchini kwake na imepelekea raia wa nchi hiyo kuweka hashtags kwenye mitandao ya kijamii zikisema #bringbackMutharika haswa kwenye twitter kama unavyoona hapo chini.

Share To:

msumbanews

Post A Comment: