Msanii Shilole ‘Shishi Baby’ akitoa burudani ndani ya ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
***
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Mwigizaji na Mjasiriamali Zuwena Yusuph Mohammed maarufu Shilole ‘Shishi Baby’ amewaongoza wanawake Mjini Shinyanga kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ iliyoandaliwa na Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali kiitwacho Women With Vision kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga.

Sherehe hiyo ‘ Women With Vision Outing Day’ imefanyika siku ya Jumatatu Machi 8,2021 usiku katika Ukumbi wa CCM Mkoa wa Shinyanga ambapo mgeni rasmi alikuwa Mjasiriamali Zamda Shaban maarufu Tausi Coffee ambaye ni Diwani wa Kata ya Ndala Manispaa ya Shinyanga akimwakilisha Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Santiel Kirumba.

Mbali na kutoa burudani ya muziki akinogesha sherehe hiyo, Msanii Shilole pia ametumia fursa hiyo kuwahamasisha wanawake kuvunja ukimya kuhusu matukio ya ukatili wa kijinsia na kuhakikisha wanatoa taarifa pindi wanapofanyiwa vitendo vya ukatili katika jamii.

“Tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani ni vyema wanawake sasa mkaachana na tabia ya kufumbia macho matukio ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto. Wanawake wengi wananyanyasika lakini hawasemi, vunjeni ukimya. Mapenzi siyo vita, mnapoonewa semeni badala ya kunyamaza na wengine mkihofia kuvunja ndoa zetu kama mtatoa taarifa kuhusu vitendo mnavyofanyiwa”,alisema Shilole.

Katika hatua nyingine Shilole aliwataka wanawake kushiriki katika shughuli za ujasiriamali, kupendana na kupeana ushirikiano ‘sapoti’ badala ya kukwamishana.

“Wanawake unganeni, shirikianeni badala ya kutumia nguvu nyingi kuwakwamisha wale wanaothubutu kufanya jambo. Nimeambiwa hata walioandaa tukio hili, ndugu zangu Women With Vision wamepigwa vita sana, kuna baadhi ya watu badala ya kuungana nanyi wao wamejaribu kutaka kuwakwamisha ili msifanye jambo hili zuri. Hongereni sana kwa kufanikisha jambo hili licha ya changamoto mlizopitia nami pamoja na wadau wengine tutaendelea kuwaunga mkono,ili mwaka ujao mfanye vizuri zaidi”,alisema Shilole.

Aidha Shilole aliwasihi wazazi kulea watoto vizuri na kuhakikisha wanakuwa karibu na watoto ili wajue changamoto wanazokabiliana nazo ili kupiga vita vitendo vya ukatili ya watoto.

Naye Mgeni Rasmi Mhe. Zamda Shaban akimwakilisha Mbunge wa Viti Maalumu mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba aliwataka akina mama kutokata tamaa na kuacha uoga na kuepuka kuwa na wivu ,kuacha kubezana wao kwa wao.

“Mwanamke simamia kile unachokiamiani, kile unachoamini kifanye na unapokutana na changamoto usiache hiyo biashara bali tatua hiyo changamoto kwani hakuna biashara wala maisha yasiyo na changamoto, ipo siku utapata mteremko”,alisema.

“Wanawake tusiwe na wivu, tuache tabia ya kubezana, akina mama tunaweza hasa tukishirikiana. Naomba tupendane , tuache mtima nyongo, tupeane sapoti na unapomuona mwanamke kasimama imara mpe ushirikiano badala ya kuwa na kumkatisha tamaa”,aliongeza.

Nao baadhi ya wanawake waliopata nafasi ya kutoa ushuhuda wa maisha waliyopitia na kufanikiwa kimaisha waliwasisitiza wanawake kutokata tamaa na kuachana na tabia ya kutegemea wanaume kwa kila jambo.

Nao viongozi wa Kikundi cha Women with Vision Winfrida Mlimandago (Mwenyekiti), Abigaeli Hamis (Katibu) na Stella Mhondo (Mweka Hazina) wamewashukuru wanawake waliojitokeza katika maadhimisho ya siku ya wanawake duniani na kuomba wanawake waendelee kushirikiana ili kuleta maendeleo katika jamii na kufikia dunia yenye usawa.

Walisema mbali na kufanya sherehe ya kula,kunywa, kucheza na kupata burudani mbalimbali wakati wa Women With Vision Outing Day pia wametembelea Gereza la Wilaya ya Shinyanga na zawadi ya Taulo za kike, Panty Liners na Sabuni kwa wanawake waliopo katika gereza hilo sambamba na kutoa zawadi ya sabuni,mafuta,pampers,Panty liners na taulo za kike kwa watoto waliozaliwa kabla ya wakati katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga.

Women With Vision Outing Day imeenda sanjari na Sherehe ya Kuzaliwa kwa Mwanzilishi wa Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali cha Women With Vision, Abigaeli Hamis aliyezaliwa tarehe 8 Mwezi Machi miaka kadhaa iliyopita.

 ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Mwigizaji na Mjasiriamali Zuwena Yusuph Mohammed maarufu Shilole ‘Shishi Baby’ (wa pili kushoto) akipokelewa nje ya ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga na viongozi wa kikundi cha wanawake wajasiriamali 'Women With Vision' kwa ajili ya kuungana na wanawake Mjini Shinyanga kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ iliyoandaliwa na Kikundi cha Wanawake Wajasiriamali kiitwacho Women With Vision kilichopo katika Manispaa ya Shinyanga usiku wa Jumatatu Machi 8,2021. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Mwigizaji na Mjasiriamali Zuwena Yusuph Mohammed maarufu Shilole ‘Shishi Baby’ (wa pili kushoto) akipokelewa nje ya ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga na viongozi wa kikundi cha wanawake wajasiriamali 'Women With Vision' kwa ajili ya kuungana na wanawake Mjini Shinyanga kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Msanii Shilole ‘Shishi Baby’ (katikati) akiingia katika ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga na viongozi wa kikundi cha wanawake wajasiriamali 'Women With Vision' kwa ajili ya kuungana na wanawake Mjini Shinyanga kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Msanii Shilole ‘Shishi Baby’ (katikati) akiwa ndani ya ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Keki maalumu iliyoandaliwa na kikundi cha wanawake wajasiriamali 'Women With Vision'  kwa ajili ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Msanii  Shilole ‘Shishi Baby’  akikata keki maalumu kwa ajili ya kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Msanii  Shilole ‘Shishi Baby’  akimlisha keki Mjasiriamali na diwani wa kata ya Ndala Mhe. Zamda Shaban wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Mjasiriamali na diwani wa kata ya Ndala, Zamda Shaban maarufu Tausi Coffee akimlisha keki Msanii Shilole
Msanii  Shilole ‘Shishi Baby’  akimlisha keki Mwenyekiti wa kikundi cha Women With Vision, Winifrida Mlimandago wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Diwani wa kata ya Ndala katika Manispaa ya Shinyanga, Zamda Shaban maarufu Tausi Coffee akimlisha keki Katibu wa Kikundi cha Women With Vision, Abigaeli Hamis
Msanii  Shilole ‘Shishi Baby’  akimlisha keki Mweka Hazina wa Kikundi cha Women With Vision, Stella Mhondo wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Msanii  Shilole ‘Shishi Baby’ ( wa pili kulia) na viongozi mbalimbali akiwa amekaa meza kuu wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Zoezi la kufungua Shampeni likiendelea wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Katibu wa Kikundi cha Women With Vision , Abigael Hamis akifurahia baada ya kufungua Shampeni wakati wa kusherehekea Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Katibu wa Kikundi cha Women With Vision , Abigael Hamis akimpatia kinywaji Msanii Shilole
Msanii Shilole na Meza kuu wakigonga Cheers!
Wanawake wakiwa ukumbini
Katibu wa Kikundi cha Women With Vision , Abigael Hamis akiwapatia kinywaji wanawake ukumbini

Meza kuu wakifuatilia matukio ukumbini
Mgeni rasmi Diwani wa kata ya Ndala katika Manispaa ya Shinyanga, Zamda Shaban maarufu Tausi Coffee akizungumza kwa niaba ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Santiel Kirumba wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Mwigizaji na Mjasiriamali Zuwena Yusuph Mohammed maarufu Shilole ‘Shishi Baby’  akizungumza katika ukumbi wa CCM mkoa wa Shinyanga wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Mwigizaji na Mjasiriamali Zuwena Yusuph Mohammed maarufu Shilole ‘Shishi Baby’  akimhamasisha Mjasiriamali maarufu Naomi Toto Collection asikate tamaa katika biashara anazofanya.

Wanawake wakicheza na Msanii Shilole

Wanawake wakicheza muziki ukumbini
Wanawake wakicheza muziki ukumbini
Mmoja wa wanawake hao akitoa burudani ukumbini
Msanii Nyumbu Mjanja akiimba wimbo maalumu kwa ajili ya wanawake

Mjasiriamali Getrude Eusebio akitoa mada kuhuu Malezi ya watoto na haki za wanawake na watoto
Mjasiriamali anayejihusisha na masuala ya mapambo maarufu Mama Tinda Decorations akiwahamasisha wanawake kutokata tamaa katika shughuli wanazofanya
Mjasiriamali maarufu Naomi Toto anayemiliki maduka ya nguo za watoto 'Naomi Toto Collections' Mjini Shinyanga na Kahama Mjini akielezea changamoto alizopitia na mafanikio aliyopata kupitia biashara ya nguo za watoto
Mkuu wa Dawati la Jinsia na  Watoto wilaya ya Shinyanga, Victoria Maro akiwahamasisha wanawake kujituma katika kazi na kutoa taarifa za matukio ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto
Mjasiriamali Rahabu Joel akiwahamasisha wanawake kujishughulisha na mambo ya ujasiriamali
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini
Wanawake wakiwa ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Wanawake wakicheza Kwaito ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Wanawake wakicheza muziki ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Wanawake wakiendelea kula chakula ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Wanawake wakila chakula ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Waandishi wa Habari wakiwa ukumbini, Kushoto ni Kasisi Kosta wa Clouds Media, kulia ni Josephine Charles kutoka Radio Faraja Fm Stereo
Wanawake wakiwa ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Wanawake wakiwa ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Wanawake wakiwa ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 
Wanawake wakiwa ukumbini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ 

Mwanzilishi wa Kikundi cha Women With Vision ambaye ni Katibu wa Kikundi hicho, Abigaeli Hamis akikata keki baada ya kumwagiwa maji na kupakwa rangi akisherekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birth day' wakati Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ Machi 8, 2021

Mwanzilishi wa Kikundi cha Women With Vision ambaye ni Katibu wa Kikundi hicho, Abigaeli Hamis akipiga picha na wadau akisherekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birth day' wakati Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ Machi 8, 2021
Wanawake wakipiga picha ya kumbukumbu
Mtangazaji wa Radio Faraja Fm Stereo Josephine Charles akiwa na Mwanzilishi wa Kikundi cha Women With Vision ambaye ni Katibu wa Kikundi hicho, Abigaeli Hamis akisherekea Siku yake ya Kuzaliwa 'Birth day' wakati Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika sherehe Maalumu iliyopewa jina la ‘Women With Vision Outing Day’ Machi 8, 2021.

Picha zote na Kadama Malunde
Share To:

Post A Comment: