MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira akizungumza na wazee wa Mitaa 10 ya Kata tatu za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania .

MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira akizungumza na wazee wa Mitaa 10 ya Kata tatu za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania

MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira kushoto akizungumza na wazee
MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira kulia akizungumza na wazee kusikiliza kero ambazo zinawakabili
MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira kushoto akisalimiana na mmoja wa wazee baada ya kuzungumza
MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira kulia akizungumza na wazee kusikiliza kero ambazo zinawakabili
MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira kulia akizungumza na wazee kusikiliza kero ambazo zinawakabili

NA MWANDISHI WETU,BUKOBA.

MBUNGE Mteule wa Viti Maalumu (CCM) kundi la Asasi za Kiraia (NGOs) Tanzania Bara Neema Lugangira amewahaidi Wazee wa Bukoba Mjini kwamba atakuwa mtetezi wao ikiwemo kuimarisha mazingira ambayo yatawawezesha kupata huduma muhimu za kijamii.

Neema aliyasema hayo wakati alipokutana na wazee kutoka Mitaa 10 ya Kata tatu za Kahororo, Kashai, Nshambya za Bukoba Mjini ambapo yeye ni mlezi katika uchaguzi huu huku akiwaahidi pia kuwapigania .

Alisema kwa kutambua umuhimu wa wazee ambao ni rasilimali muhimu katika Maendeleo ya Taifa letu ndio maana aliamua kukutana nao kupata uelewa mpana wa changamoto na mahitaji yao.

Mbunge huyo Mteule alisema pia aliwapa Wazee wa Bukoba Mjini uelewa wa kina wa namna ambavyo CCM imejipanga kuimarisha mazingira ambayo yatamwezesha mzee kupata na kutumia huduma muhimu za kijamii ili aweze kuishi kwa usalama na heshima.

‘Katika hilo wazee wangu walifurahi sana na zaidi walipoona changamoto walizowasilisha kwangu zimeshajibiwa na kuwekewa mipango mikakati thabiti kwenye ilani yetu ya CCM mwaka 2020-2025” Alisema
Share To:

TANGA RAHA BLOG

Post A Comment: