Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege Nchini (ATCL), Ladislaus Matindi amesema hawachagui Wanawake kwa ajili ya kuwapeleka kuonesha uzuri bali kuna vigezo

Amesema, wanapimwa uelewa, kujua wana uwezo upi wa kufuatilia mafunzo watakayopewa ili watoe huduma inayotakiwa kwa wateja na sio kuangalia sura

Majibu hayo yanakuja kutokana na Mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima kudai Wahudumu wa Ndege za ATCL hawana mvuto kwa wateja
Share To:

msumbanews

Post A Comment: