Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amewatunuku vyeti vya kuhitimu kidato cha nne wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana Sumve iliyoko mkoani Mwanza.

Mahafali hayo yamefanyika katika viwanja vya shule hiyo na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Mbunge wa Jimbo la Sumve, Mhe. Richard Ndassa.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: