Sunday, 27 October 2019

MBUNGE ELIBARIKI KINGU AONGOZA MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SEKONDARI YA MIANDI IKUNGI SINGIDA


 Kijana wa Skauti, Benadeter Fadhil  wa Shule ya Sekondari ya Miandi iliyopo Wilayani Ikungi Mkoani Singida akimvika Skafu ngeni rasmi Wa mahafali ya nane ya kidato cha nne, Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Kingu wakati alipowasili kwenye mahafali hayo mwishoni mwa wiki.
 Mbunge Kingu akilakiwa kwenye mahafali hayo.
 Wahitimu wa kidato cha nne wakiwa kwenye mahafali hayo.
 Wazazi wakishiriki mahafali hayo.
 Wazazi wakishiriki mahafali hayo.
 Wanafunzi wa shule hiyo katika mahafali hayo.
 Viongozi wakiwa meza kuu.
 Wazazi wakishiriki mahafali hayo.
 Taswira ya mahafali hayo.
 Wahitimu wakiimba wimbo maalumu.
 Mshereheshaji  wa mahafali hayo Mwalimu, Hamad Selemani akiwajibika.
 Afisa Elimu wa Kata ya Kituntu, Kassim Mayoho akizungumza na wahitimu hao.
 Vijana wa Skauti wakiwa katika mahafali hayo.
 Afisa wa Shirika la Stars of Poverty Rescue Foundation (SPRF) Mkoa wa Singida, Peragia Nshema akizungumza katika mahafali hayo.
 Mkuu wa shule hiyo wa zamani, William Ipini akizungumza.
 Vijana wa Skauti wakionesha umahiri wa kukanyaga miguu katika gwaride.
 Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo, Hajira Ramadhani,  akizungumza.
 Wahitimu wakionesha umahiri wa kucheza mziki.
 Mkuu wa shule hiyo, Juma Maatu akisoma taarifa ya shule hiyo mbele ya mgeni rasmi.
 Mgeni rasmi Elibariki Kingu akihutubia.
 Mgeni rasmi akiserebuka sanjari na wahitimu wa kidato cha nne.
 Mgeni rasmi akimpatia zawadi ya madaftari mwanafunzi anayefanya vizuri kimasomo, Ashura Jumanne.
 Mgeni rasmi akinkabidhi cheti mhitimu, Peter Paul.
 Wazazi wakiwa katika  mahafali hayo.
 Mratibu wa sherehe ya mahafali hayo, Gedion Samuel akizungumza.
 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Kituntu, Shabani Kilakunu akizungumza.
 Wanafunzi wakiwa katika mahafali hayo.
 Kiongozi wa dini ya kiislam wa kata hiyo, Ramadhan Hamli,  akiomba dua la kufunga hafla ya mahafali hayo.
 Mwalimu wa dini,Daniel Ngoi kutoka Kanisa la EPCT kijiji cha Miandi akiomba wakati wa kufunga sherehe za mahafali hayo.
 Mgeni rasmi katika picha ya pamoja na wahitimu.
Umati wa wanafunzi wazazi waliohudhuria mahafali hayo.

No comments:

Post a Comment