Tuesday, 2 July 2019

Rais Magufuli amtumbua Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kyela


Rais John Magufuli  ametengua uteuzi wa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kyela, Lucy Mganga kwa kutoridhishwa na utendaji kazi wake.

Taarifa ya utenguzi huo imetolewa leo jijini Dodoma na waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo.

No comments:

Post a Comment