Friday, 21 June 2019

MATUKIO MBALIMBALI BUNGENI LEO

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angela Kairuki, Bungeni jijini Dodoma Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini Dodoma  Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini Dodoma  Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, Bungeni jijini Dodoma, Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment